zanzibar maulidi
Uploader Comments (mamajoha)
All Comments (27)
-
@SunnahWay LAST thing is.. angalia post yako.. waniita "brother in Islam" kisha mwisho wasema mimi simuislamu. Hata abdulwahabi hawezi kumuambia mtu sio muislamu..
-
@SunnahWay nafkiri nyinyi mawahabi ni lazima mujiangalia hizo ndimi zenu first, munafanya uislamu ni dini ambayo hufai kufanya kitu chochote isipokua kueka midevu na kuvaa visuruali vifupi kisha munaita sunna! Inshallah the coming generation will take away this kind of beleives and be burried forever Inshallah. Wacha watu wafurahie maulid, wapige ngoma, washerehekee, wastarehe, na nyinyii kaaeni muwe kazi yenu ni kulaani watu tuu
-
Bidaa or whatever ni ujinga mtupu ! Hizo ni fikra za wapuuzi fulani waliokaa wakitaka ku control dini kuifanya ni yao. Kisha wanajiita ahlul sunnah (kama vile jina lako lipo hapo) Kazi kubwa ya hao ahlul sunnah mawahabi wanaomfata huyo abdulwahabi ni kufanya umma uwe makafiri na waislamu ni wao tuu- hehehe haki i think ni lazima mujiangalia hizo itikadi zenu, maana mnajiona mna dini mno lakini you are absolutely wasting your time. Kwani wewe nani umefanye mtu awe muislam au kafir??
-
Bidaa or whatever ni ujinga mtupu ! Hizo ni fikra za wapuuzi fulani waliokaa wakitaka ku control dini kuifanya ni yao. Kisha wanajiita ahlul sunnah (kama vile jina lako lipo hapo) Kazi kubwa ya hao ahlul sunnah mawahabi wanaomfata huyo abdulwahabi ni kufanya umma uwe makafiri na waislamu ni wao tuu- hehehe haki i think ni lazima mujiangalia hizo itikadi zenu, maana mnajiona mna dini mno lakini you are absolutely wasting your time. Kwani wewe nani umefanye mtu awe muislam au kafir?
-
@chuu143 brother in islam soma kwanza kabla hujaanza kuandika upuuzi wako unaingia kwenye hatua mbaya sana kwa sababu huna ilmu unafata tu mkumbo
wewe unaona kukataza bidaa ni upuuzi na bidaa inamuingiza mtu motoni,unasema i see no problem at all,who are you to see problem and not to see problem, and i quote you ;whatever you may quote from whatever part from the quran-it is just someone's idea. so you don't believe in the quran is that what your telling us ,than your not a muslim .
-
Muslims ummah if u wana view the best miladun nabi, go to username, ahmedrecoda mashallah! This is actual the real prophet. "Ashkinnabi muhammad" allahumaswali wasalim wabaarik alaihi. You wahabism leave us alone, we have love more to Prophet than you guys.
-
@fardoon Mtume Sallallaahu alayhi Wasallam mwenyewe namna gani ya kumsalia katika hadithi hii: Tulimuuliza Mtume S.A.W: Ewe Mjumbe wa M.Mungu tumeshajua namna ya kukutakia amani juu yako. Basi namna gam tukusalie? Akasema: Semeni; Allaahummaa swalliy Alaa Muhammad....... Mpaka mwisho kama tunavyosema ktk sala (Bukhari na Muslim)
-
@hassannur1 Mwenyeezi Mungu anasema katika Al-Baqrah aya 170: na wanapoambiwa; Fuateni aliyoyateremsha Mwenyeezi Mungu; hujibu; bali sisi tunayafuata yale tuliyowakutanayo baba zetu. Je! Hata kama baba zao walikuwa hawafahamu chochote wala hawakuongoka (watawafuata tu)
-
I think people should change their attitudes towards a lot of things.
Tunapoteza wakati mwingi sana discussing stupid things such as kujenga makaburi, maulidi yafaa haifai.. These are all wasting of time.
to mooseywow.................no there were no women particpants and only about 6 women spectators. The rest of the spectators were men and boys. And to answer your question I was on zanzibar island. Yes I filmed it in july 2006 and I LOVED every moment of it. My husband is a swahili and I have been married to him for 25 years.(mama joha)
mamajoha 4 years ago
thanks for this nice maulid
salik77 5 years ago 2
your welcome.... i hope you liked it... ps. are you from zanzibar? from mama joha
mamajoha 5 years ago