http://www.ntv.co.ke
Masuala ya dhiki ya baa la njaa inawasonga wananchi wengi nchini. Tunasalia Kajiado ambako watoto na kinamama wanahangaika usiku na mchana. Yamkini elimu sasa haina kipaumbele huko kwani wanafunzi wanashughulikia vya kutia tumbo, ambavyo vimekuwa adimu sana.
Ukamwe unatokana na kukata miti. Ac\heni kuchoma makaa.
HeshimaJameni 1 year ago
Who is the MP here? Urgently reinstate school feeding programmes.... and for the sake of those childrens' future someone stop charcoal burning here, it will be the final stroke! Finito!
siasabora 2 years ago