Bw. HARUSI APELEKWA KWENYE SOLO
Uploader Comments (kaygreko)
All Comments (8)
-
ahh hapa athens???
-
@27356mm hahahahahaha lucky it wasnt you!!
-
Hehehehe waislam jina haooo na mambo yaoo
-
waislamu gani hawa wafanyao machafu kuchanganyika na wanaume kweli dunia imekwisha wamefutwa haya huyo bala anfanya nini katika ubunge kenya imeharibika sana kwa anasa naona haya kusema nimezaliwa kenya mtu akiona mambo kama haya kumbukeni kuna na mungu hatukujiumba sisi tumeumbwa jamani kuna na jammi ndogo zinazo tufata zengatieni enyi wanadamu.
-
Haifai hiyo ni fitna kabisa, jimama lizima kwenda mkalia mume wa mtu mapajani, weshaingiza ibilisi hapo, hivi kesho akienda zini naye akamvunjia mwenziwe ndoa yake watamlaumu nani?
-
heshimuni hayo mavazi ya kiislamu na muwe na adabu kamili nonsence
-
huyo akini kalia mimi nsha kwisha
Ndiyo ni Athens katika ofisi ya jumuiya ya watanzania
kaygreko 6 months ago