Saidi Juma - Walio lala katika kristo

Loading...

Sign in or sign up now!
Alert icon
Upgrade to the latest Flash Player for improved playback performance. Upgrade now or more info.
9,263
Loading...
Alert icon
Sign in or sign up now!
Alert icon

Link to this comment:

Share to:
see all

All Comments (15)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • Duu Ukiristo ni umeanzishwa na wapangani wa antiokia hili si balaa hili. Wakiristo acheni kuyumbishwa na watu wanaojifagilia makanisani. Njooni kwa Mola wenu mmoja tuu alieumba Ardhi na Mbingu na vilivyomo. Ktk Uislamu mtampata Yesu, Mussa, Muhammad na utomu wote achaneni na imani za kiroma

  • Utapiganaje na waisraeli bwana utakuwa unampinga Musa aliyewapereka pale au unapinga hekima ya musa. Sasa tujue nani zaidi bwana kati yenu na Musa aliyekuwa nabii. Tafuteni sababu nyingine za kupigana siyo ardhi. Mnaona Musa a.s hana akili kabisa kuwaweka pale waisraeli. Hivyo vita vitakuwa vya jana na leo si vya kale mbona kipindi cha Isa hakukuwako na vita bwana vilikuwa tayari vimekwisha sasa nani ameanzisha nyingine.

  • Tutamjua vipi huyu ni Isa maana kuna Izra!

  • Naye Isa atakuja na nini asije akaturetea bida'a!

  • Wengine hatuogopi sauti za watoto hata wakiitwa masharifu ni habari tu za maandalizi ikiwa ibilisi aliweza kutengeneza ng'ombe wa samiri na akaongea mbele za watu technolojia ya miaka kibao iliyopita leo hii atashindwa kumtengenezea mtu sauti wakati wakweli amekwenda kutafua elimu. Hata mawe yaliongea pia kwa mujibu wa uislamu niwekeni sawa sasa nini zaidi kinachoperekea kuwaamini watoto? Kumbuka ibilisi alimuingia mtu mwili mzima...

  • Itakuwaje Quran ianzie kwa muhammad wakati Ibilisi alikuwa akiisoma hata na kabla ya kuingia duniani kwa kumkufuru mungu? Au zilikuwa sound tu za waungwana? Msibadirishe tu hizi hoja.

  • Aya gani ina rakaa na nyakati za kuswali maana mi naswali tu? Au ndio kitabu mauqutta!

  • Hakuna pia Dini ya mungu inayoitwa Islam.Y use the Qura'an in a+ve way and say that the bible is wrong. In the book of psalms it says sing to the LORD.I hope you read and understand the context of any given verse you choose. We have Christ and Christians as the followers of."CHRIST".SO brothers we have christianity.Pray that your faith may be strong in the Lord.

  • 1 Corinthians 1: 18-19. the message of the cross is sheer folly to those who the way to distruction; but to us; who are on the way is salvation, it is the power of God. 19 Scripture says, i will destroy the wisdom of the wise, and bring to nothing the calverness of clever.

Loading...
Alert icon
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more