Sakata ya watekaji nyara

Loading...

Sign in or sign up now!
Alert icon
Upgrade to the latest Flash Player for improved playback performance. Upgrade now or more info.
6,352
Loading...
Alert icon
Sign in or sign up now!
Alert icon

Uploaded by on Sep 27, 2008

Maharamia kutoka nchi jirani ya Somalia walioiteka nyara meli ya Ukraine katika bBahari ya Hindi ya Aden wametoa onyo kali dhidi ya jaribio lolote la kijeshi la kuwaokoa mabaharia hao au shehena ya mizigo iliyobebwa na meli hiyo MV Faina, vikiwemo vifaru vya kivita 33 vya jeshi la Kenya huenda vikaibua mtafaruku. Sasa wanaharamia hao wamitisha pesa taslimu shilingi bilioni 2.6 za Kenya ili kuachilia huru meli hio pamoja na waliotekwa .

  • likes, 0 dislikes

Link to this comment:

Share to:
see all

All Comments (1)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • Kwani kuna barabara baharini? Vipi iwe barabara ya meli? Mbona isiwe njia au mapito? Barabara nijuavyo mimi imo ardhini na ni njia ipitayo magari, pikipiki na baiskeli.

Loading...

Alert icon
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more