Tume ya Uchaguzi Zanzibar imetupilia mbali pingamizi la Chadema dhidi ya Mfanyabiashara Mohamedraza wa CCM bila sababu za Msingi. Pingamizi hilo lilifanana na lile Chadema ililowekewa Mbeya Vijiji lakini pia kwa Sheria Zanzibar kiapo lazima kilipiwe ndio kiwe halali jambo ambalo Raza hakulifanya.
Link to this comment:
All Comments (0)