Mtazamaji labda umeshawahi kukisikia kibao maarufu cha merimela. Ni kibao ambacho kimekuwa midomoni mwa wengi tangu kilipongonga hewa za burudani. Lakini sio wengi wanaomtambua aliyeuimba wimbo huu, lulu hassan alikutana na msanii huyu maarufu kama uncle jakonaya katika mtaa wa kibera na kwa leo ndiye anayetupambia makala ya darubini.
Keep it up mate x
badianyaryimbo 1 month ago