Mawaidha mazuri sana kutoka kwa shekh Ali Bahero kuhusiana na hadith ya pembe ya shetani inayotoka najdi. Sheykh anaeleza kwa uzuri kuwa najdi hiyo ni ya iraq wala sio Najdi ya jazeeratul Arab. Makhorafi walijaribu kumjibu sheykh kwa kutoa video, walakin khorafi ni khorafi hawana haya hata mbele ya haki. lao kubwa ni kuzusha tu!
masha allah
dullysykes 8 months ago
masha alah tnks bro 4 the sweeet videos
zaki99ful 2 years ago