http://www.ntv.co.ke
Maisha ya ujane sio rahisi. Na mara nyingi maisha hayo ya kipweke huwa ni jukumu kubwa kwa mama kiasi kwamba kujitosheleza mwenyewe ni jukumu si haba. Lakini kundi moja la wajane huko Malindi halijawahi kukata tamaa katika harakati za kujikimu kimaisha. Na sasa limejitwika jukumu la kuwafaa hata watoto mayatima na maskini. Ray Polo anaangazia bidii ya wanawake hao katika Taswira ya Jamii.
@blackstheblessed Alosema Malindi ni Tanzania ni nani? Malindi ilikuwepo kabla ya Tanzania! Lau si muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Tanzania ingetoka wapi? Hizo zilikuwa nchi mbili huru! Zanzibar kwenyewe serikali ya CCM imekuwa ikiwaakandamiza wapinzani wao. Mji mchafu kama nini. Ustaarabu gani huo wa kuumizana wao kwa wao? Mwanadamu ni yule yule popote alipo. Tanzania unakoashiria kuna ustaarabu, ndiko wanakowaua maalbino kila kukicha! Wanashikilia bado mambo ya uchawi! Ustaarabu gani huo?
buashraf 1 year ago
Just imagine if Coast(Mwambao) could be autonomy......we need to wake up!!!
omardigalo 1 year ago
Malindi Kuna Ustaarabu , So is to Wanzanzania , na Ustaarabu is what Kenyans Lack . Watu Wa Malindi Si Wakenya Ni Watanzania ( Wazanzibari ) Kubali au Pinga The Truth is the Truth .
blackstheblessed 1 year ago
eeeeh! hiyo veve imeiva!!!!! lol
machax002 2 years ago
Next time do a good piece on important issues not pathetic crap like poverty, women trafficking, prostitution, corruption and effects of tourism in Malindi.
Not that pathetic BS
sssahara69 2 years ago
walalo254 Yamekuwa mazoea kukiboronga Kiswahili. Ninawasikia siku hizi wakisema jambo fulani limezua "tetesi" kwa maana ya mtafaruku au mzozo. Wengine wanasema SINTOFAHAMU ilhali neno la sawa ni SUITAFAHAMU. Tetesi ni uvumi, habari ambazo mtu hana hakika nazo. Iweje watu kusema "Maswala ya katiba yaliyozusha tetesi"? Ajabu!
buashraf 2 years ago
kujivijari!!!asema nini huu dada,,?malindi raha!salaam.
wilnnlights 2 years ago
ah ustadhi hebu wape darsa..lugha imekuwa nyeti!! lol
walalo254 2 years ago
Jamani eeh! Kujivinjari ndiko kufanya nini? Kuvinjari najua, je huku kujivinjari ni nini?
buashraf 2 years ago