Mwenyezi Mungu azipumzishe roho za marehemu mahala pema.
Ajali nyingi za Tanzania zinatokana na uzembe unaozuilika ikiwa ni pamoja na kutunga sheria, kuzisimamia ili zitekelezwe na kujenga utiii wa sheria, na hili la sheria linahitajika katika mambo mengi sana yanayoendeshwa hovyo hovyo tu na kwa uzembe mkubwa sana nchini Tanzania.
poleni sana watanzania mt
hadijabrown 2 years ago
Mwenyezi Mungu azipumzishe roho za marehemu mahala pema.
Ajali nyingi za Tanzania zinatokana na uzembe unaozuilika ikiwa ni pamoja na kutunga sheria, kuzisimamia ili zitekelezwe na kujenga utiii wa sheria, na hili la sheria linahitajika katika mambo mengi sana yanayoendeshwa hovyo hovyo tu na kwa uzembe mkubwa sana nchini Tanzania.
Sijui tutaanza lini.
subira 3 years ago