Licha ya madai kwamba hakuna tena wakimbizi wa ghasia za baada ya uchaguzi waliobaki kambini, idadi kubwa ya wakimbizi hao walihamishwa tu hadi kambi za muda katika maeneo walikotoka. Katika kambi hizo wakimbizi hao wanaishi katika maisha ya dhiki. Huenda hali hiyo imesababisha wengi wao kuunga mkono uamuzi wa Kofi Annan kuhusu kupelekwa Hague kwa washukiwa wa ghasia hizo.
Link to this comment:
All Comments (0)