Alert icon
We're changing our privacy policy. This stuff matters.  Learn more  Dismiss

Maadhimisho ya kukomesha UKEKETAJI duniani Feb 6, FEMALE GENITA MUTILATION (SWAHILI version)

Loading...

Sign in or sign up now!
Alert icon
Upgrade to the latest Flash Player for improved playback performance. Upgrade now or more info.
1,184
Loading...
Alert icon
Sign in or sign up now!
Alert icon

Uploaded by on Feb 6, 2010

UKEKETAJI.....hauna faida mbali maafa kibao katika Afya ya wanawake , Ungana nami kukomesha ukeketaji..elimisha jamii madhara ya kiafya na vifo vinavyotokana na UKEKETAJI!
http://twitter.com/Mashua
http://www.facebook.com/pages/Mashua-Against-FGM/225406701415?ref=ts
Ukeketaji unakwenda kinyume cha uumbaji wa Mungu. Mungu akamuumba mtu kwa
mfano wake.
Ukeketaji unakiuka haki za mwanamke na msichana kama zinavyoelezwa katika mkataba
wa kimataifa dhidi ya ubaguzi wa aina zote kwa wanawake wa mwaka 1979 (CEDAW)
Mkataba wa kimataifa juu ya haki za mtoto wa 1989 na tamko la kiafrika juu ya haki na
ustawi wa mtoto. Ukeketaji unasababisha maumivu ya kudumu ulemavu na hata vifo.
Kipekee ukatili huu unavunja haki, utu na heshima ya mwanamke na mtoto.
c. Ukeketaji una madhara mengi kwa wanawake na wasichana na watoto wanaotendewa
jambo hilo. Wanawake waliokeketwa wanaathirika kiafya, kisaikolojia, kijamii na
kiuchumi na mengineyo kwa mfano:
- Athari za kiafya ni pamoja na:
i. Maumivu makali wakati wa kukeketwa
ii. Kuvuja damu nyingi wakati wa kukeketwa na wakati wa kujifungua
iii. Kupata makovu ambayo huchanika vibaya wakati wa kujifungua Kuvimba maeneo ya
siri kama tunavyoona wengine wanaovimba masikio wakati wanapotoga masikio yao.
iv. Kupata maambukizi ya magonjwa hasa VVU wakati wa kukeketwa na mengineyo.
Athari za kijamii baadhi ni kama zifuatazo:
i. Tendo la ndoa kukosa msisimuko au raha kwa mwanamke na kuwa kero
ii. Kukosa watoto ukeketaji unapokosewa.
Athari za kisaikolojia ni pamoja na:
i. Mwanamke kuwa na maumivu ya kudumu
ii. Kuchukia tendo la ndoa
iii. Kujisikia kutotoshelezwa wakati wa tendo la ndoa.
Madhara au athari hizi zinakuwa jinamizi linalomfuata mwanamke maisha yake yote.
Balozi Lucy Mashua ,
Balozi wa kukabiliana na ukeketaji duniani.
Msaidizi wa wakimbizi hapa Marekani
Mwenye kiti wa kamati inoyopinga ukeketaji duniani.

  • likes, 0 dislikes

Link to this comment:

Share to:

Uploader Comments (lmashua)

  •  Kuongeza raha ya mwanamume katika tendo la ndoa

     Kuondoa ugumba, magonjwa ya kizazi nuksi na mikosi, n.k.

     Kumtawala mwanamke (mfumo dume) na mengine yafanayo na hayo.

    je huu ni ungwana?

  • Mila

    na imani zinazohusiana na ukeketaji zina madhumuni au makusudi fulani

    yanayotakiwa kufikiwa na jamii husika. Kwa mfano ukeketaji una

    madhumuni yafuatayo:-

     Kumwondoa msichana kutoka rika la utoto na kuingia utu uzima.

     Kumzuia msichana asiwe na tamaa ya kujamiiana na wanaume ovyo

    ovyo.

     Mahari- wazazi wenye watoto waliokeketwa wanayo nafasi kubwa ya kupata mahari kubwa kwa ajili ya watoto wao.

  • Tukilichunguza tatizo hili kwa muhtasari tunaona kwamba tabia ya ukeketaji

    imejengeka katika mila na imani za watu kufuatana na mazingira yao.

  • Great. No defense can be made for preserving a cultural practice that damages womens' health and interferes with their sexuality. Good Luck!

  • @siasabora Shukrani Siasa bora naumenitupa mno;)

see all

All Comments (7)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • Kweli Imashua..Umeniamsha bongo langu lale

  • I hate FGM,

Loading...
Alert icon
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more