http://www.ntv.co.ke
Mabingwa watetezi wa michezo ya shule za upili ya muhula wa pili walianza vyema kampeini yao ya kuhifadhi ubingwa wao. Katika kandanda ya wavulana, Shule ya Kakamega iliishinda Isiolo ilhali Cheptil ilishinda katika voliboli ya wasichana.
Mmeleta ripoti nzuri. Sasa waambie wao wanasiasa waweke pesa zaidi hapo ili tuweze kukongamana michezo aina za kina world cup Kama wenzetu wa nigeria/ghana wanaweza, nasi?Pesa hutokana hapo pia, kwani hamjui.
Kinara.
elvin234 2 years ago