Habari za Watanzania wenzangu. Nauliza? inawezekana mjuzi mmoja kati yenu atafute picha za wataalamu wa soka wetu wa zamani, kama vile Sande manara, King Kibaden, Muchacho, Dilunga na wengineo, halafu atengeneze Youtube clip na mziki wa awali kama Sikinde....mutafurahisha wengi. Ahsanteni sana
KWELI MANENO YAKO
eastafrica1 2 years ago
Habari za Watanzania wenzangu. Nauliza? inawezekana mjuzi mmoja kati yenu atafute picha za wataalamu wa soka wetu wa zamani, kama vile Sande manara, King Kibaden, Muchacho, Dilunga na wengineo, halafu atengeneze Youtube clip na mziki wa awali kama Sikinde....mutafurahisha wengi. Ahsanteni sana
tabimsa 3 years ago
mbona amna video za machi zao
tubemanxmyz 3 years ago
Baaaaab kubwa
Kila la heri katika mechi ya mwisho dhid ya Msumbuji
kibunango 4 years ago