KIBAKI MUST STEP DOWN FOR NEW ELECTION
Uploader Comments (Munishi2)
All Comments (59)
-
Munishi ni NABII wa MUNGU.Mwaka jana JANUARY Munishi alitamka haya. Leo mwaka mmoja baadaye KIBAKI alishakubali kwamba hakushinda uchaguzi. Ndiyo maana alikubali kugawa madaraka. Amekubali kwamba alitumia tume ya uchaguzi kuiba kura, ndiyo maana amewatimua wote. Amekubali kwamba yeye ni kiongozi asiyependwa na wakenya wote hata kabila lake hawamtaki.Yuko tu kwa sababu jamii ya kimataifa haitaki kumwaibisha zaidi ya hapo. Kama atamaliza miaka minne iliyobaki itategemea kama atafanya anavyoagizwa
-
Tatizo lenu ni zaidi ya ukabila.Sijui niliite nini. Hata wakenya wa kabila moja bado wanabaguana kwa misingi hawa neno fulani wanalitamka vibaya.Wakikuyu wa Muranga hawaelewani na Wakikuyu wa Nyeri. Hawa wa Muranga wanawaona wenzao wa Nyeri MAFALA wasio na bidii ya kutafuta. Kibaki ametoka Nyeri. Wakikuyu wa Kiambuu wanamuona ANAREGAREGA. Yaani FALA.Waluya nao siyo kabila moja. Ukivuka mto lugha inabadilika kidogo, na madharau yanaanza. Kenya inataka kiongozi kutoka nje ya Kenya, ka Obama USA.
-
Munishi is speaking the truth. He is a man of the people:)
-
did u listen to urself talk,u need ur meds
seriously u started saying we should redo the election and then now u are like he should admit defeat what tha f***,rudi kwenyu bongo ur country need more help over there than we do thats why in th bible there is this verse that goes
foolish pple see the speck of dust in others eyes but they ignore the big lump of soil/log in their own eyes
-
Wewe sio Mkenya. Nenda kwenu mbongo ukaongee mambo ya Kikwete. Umekuwa kama yula ngamia ambaya alisema ataka tu kuingiza kichwa kwa nyumba. Sasa ucha kuja Kenya, ukapata mali, na sasa wataka kutueleza vile tutaendeleza siasa za Jamuhuri ya Kenya. Nikuulize, kwanini bado uko Kenya, kwani VISA yako haijaicha? Ama umenunua makaratasi ya Kenya kama Wasomali. Wataka uchunguzwe wewe.
Yawezekana NSIS wakawa na habari ambazo mimi sijui, lakini suluhu ilikuwa kuvuruga uchaguzi? Kura ni muamuzi wa mambo. Kama mlijua au mnajua ubaya wa Raila au yeyote, sheria ingechukua mkondo wake.Hata sasa hamjachelewa sheria ichukue mkondo wake. Kuniambia yaliyotokea yalisababishwa na hofu ya mliyoyajua mkakosa kuyachukulia hatua, ni sawa na kujibebesha lawama. Yaani Kibaki aliamuru tume ya uchaguzi imtangaze mshindi kwa lazima akitumia kigezo cha yale NSIS walioyajua? Je tuwalaumu NSIS?
Munishi2 3 years ago
Kumjua kibaki ni sawa. Kumpenda Kibaki ni sawa. Kutaka Kibaki awe rais wa Kenya ni haki yako. Lakini uhuru na haki yako, inaishia pale haki za wengine kuwajua wengine zinapoanzia. Uchaguzi unaruhusu uhuru wa wengi kuchagua wakipendacho. Ndiyo maana UCHAGUZI UNATAKIWA KUWA HURU NA HAKI. Iwe ilivyokuwa, ni ukweli usiopingika kwamba uchaguzi wa 2007 ulikuwa na kasoro. Kibaki alijitangaza mshindi, machafuko ya kisiasa yakaikumba Kenya.
Munishi2 3 years ago
Wengi walipoteza maisha yao, na maelfu kuhamishwa makwao. Mimi namlaumu Kibaki kwa yote hayo. Wewe unataka tuwalaumu USA. Haki ya wananchi kuchagua ndiyo ninayoipigania. Ikiwa NSIS ndio wanaowachagua viongozi Kenya, basi hakuna sababu ya kuitisha uchaguzi. Kama tume ya uchaguzi imempitisha mgombea urais, NSIS hawawezi kutuambia mtu huyo hafai kwa sababu wanazozijua na hawakuzichukulia hatua.
Munishi2 3 years ago
Hata kama kazi ya NSIS siyo kuwakamata washukiwa, basi wangepeleka habari hizo kwa vyombo husika ili hatua zichukuliwe. Uzuri wa Kibaki hautoshi kumpitisha kuwa rais bila kupingwa. Kura ya wananchi ndiyo kauli ya mwisho. Na katika uchaguzi wa 2007 kauli ya wananchi haikuheshimiwa. Hilo linanipa kichefuchefu. Kibaki unayemjua na kumpenda, unajua aliwahi kujaribu mara ngapi kuwania kiti cha urais bila mafanikio.
Munishi2 3 years ago
Aliposaidiwa na wana upinde, akafanikiwa kuwa rais. Akawageuka wenzake, akawatimua, akajizunguka na marafiki ambao mpaka sasa ndio wanaompoteza. Kwangu Kibaki ni kigeugeu, mtu asiye na shukrani, asiyeheshimu maagano. Haaminiki. Hawajali masikini. Hayo ndiyo maoni yangu kumhusu Kibaki. Siyo lazima kila mtu amuone Kibaki kwa mtizamo wangu. Mungu ni Haki. Kwake hakuna utapeli. Wanasiasa wanapotapeliana, wanaoumia ni watu waMungu ambao hawana hatia. kama MTUMISHI WA MUNGU SIWEZI KUACHA KUSEMA.
Munishi2 3 years ago