mamangu muziki mzuri sana ila shida ni wewe mwenyewe kutokuwa active kwenye dance na pozi zako kwa maana umekuwa kama umetumwa kuimba na shooter hakukuongoza vyema kwakuwa sehemu mbaya angetoa-editing
Try again mama
Mandhari pia ya recording yawe mazuri sana na ya kiwango cha juu sana
my anme is jospehine but people call me josie lolz
Missjosie257 1 year ago
I would really really like to get a hold of the lyrics to this song!
Sarch1980 2 years ago
Hata sura yake haifai kuwa mwanamuziki pia hata shepu hana
vionjo 2 years ago
i love it
chocolatebooty81 2 years ago
mamangu muziki mzuri sana ila shida ni wewe mwenyewe kutokuwa active kwenye dance na pozi zako kwa maana umekuwa kama umetumwa kuimba na shooter hakukuongoza vyema kwakuwa sehemu mbaya angetoa-editing
Try again mama
Mandhari pia ya recording yawe mazuri sana na ya kiwango cha juu sana
But ya music is sweety na poem kali pia
Dance mama dont be slow and shy
babalisa06 2 years ago
Be careful Rahisi. Kuna wizi mwingi, even those you call friends. Wimbo mzuri sana. Asante!!
pamutua 2 years ago