http://www.ntv.co.ke
Suala la mapenzi lina mada nyingi sana kwa wadau ambazo huathiri sana mahusiano yao. Wengi husema mapenzi hayawezi kufanyika bila pesa huku wengine wakilipinga hilo, Lolani Kalu alifanya kikao cha Gumzo Mitaani ndani ya basi la Kampala Coach huko Kigali, Rwanda.
hizo pesa thu...LOL
Mskenyaone 8 months ago
@karuitha This is so sweet.... Je'taime.....
lmashua 1 year ago
@siasabora lol,
karuitha 1 year ago
@K: Basi hii imejaa raha utapitishwa stage ya kwenu!
siasabora 1 year ago
3:10 Mapenzi ya umaskini yana raha jameni. I would have loved to be in that bus.
karuitha 1 year ago
@siasabora 3:00 ati umaskini ndio una mapenzi mazuri. lol, how did he work that out.
karuitha 1 year ago
@72okoths think before you put ur demonic views here. this is in Rwanda.
karuitha 1 year ago
aii dada anaongea sana. lol, Lolani wacha zako, wamaskini wanazaa watoto wengi kwa sababu wanapendana.
karuitha 1 year ago
Unaweza fanya Mapenzi bila Kinga lakini huwezi pata mpenzi bile hela!
almunjama 1 year ago
Jambo la kwanza pesa uiipate .....hayo mengine yana fuata baadaye.
kjayy023 1 year ago