Residents from Marafa in Magarini constituency have named a valley hells kitchen because they believe that the valley is cursed and haunted by devilish activities.
@dan: Huo ndiyo ukweli wa mambo. Hapa kuna uvivu wa maoni na elimu! Tangu lini mashetani wakakwita jina kama wewe sio mmoja wao? wanabomoa nyumba ziwafaidi? hata mashetani kama wapo wana mipango yao ya kishetani...kuasha moto! Lol
Inapaswa wakenya waelimike kidogo tuwachane na huu upuuzi wa kuita kila kitu ambacho hakieleweki "uchawi". Hiki ni kinyume cha maendeleo na hata husababisha maafa kwa vile watu hushambuliana wakiamini kuwa wenzao wanashirikiana na mashetani.
Ni maporomoko ya mchanga mwepesi Macharia...kuna aina ya miti au vichaka hutoa harufu ya vyakula tofauti. Hawa wazee waambie waende kazi na wajenge nyumba za kudumu. Nyumba za matope hazidumu po pote!
katana eh,,utajenga nyumba zaidi,au ujenge nyumba ya kudumu kaka,,ignorance ofcos,,nature!
wilnnlights 2 years ago
dooodo!!
daisyao 2 years ago
@dan: Huo ndiyo ukweli wa mambo. Hapa kuna uvivu wa maoni na elimu! Tangu lini mashetani wakakwita jina kama wewe sio mmoja wao? wanabomoa nyumba ziwafaidi? hata mashetani kama wapo wana mipango yao ya kishetani...kuasha moto! Lol
siasabora 2 years ago
Inapaswa wakenya waelimike kidogo tuwachane na huu upuuzi wa kuita kila kitu ambacho hakieleweki "uchawi". Hiki ni kinyume cha maendeleo na hata husababisha maafa kwa vile watu hushambuliana wakiamini kuwa wenzao wanashirikiana na mashetani.
daniells71 2 years ago