Friendly debate between the two religions, Islam and christianity. The debate held place in Diamond jubilee hall, Dar es salam, this debate wasn't long ago,.. it was done in August 2008.
Wachungaji wanataka kupotosha wafuasi wao tuu. Hawajui hata Qurani nini. Hiki kisa kipo very clear, Nabii Ibrahim ameomba ajaaliwe mtoto mwema, Mola wake akampa mtoto mwema, kisha aya zinazofwatia baadae zinasema kisha (baadae) tukampa mtoto mwengine nae ni Is haq. sasa sijui wachungaji wanajaribu kupotosha watu wao kwanini au kwa ajili ya vyeo na mishahara. Subhanallah Allah awaongoe wafuasi wao wafungue Quran wenyewe waisome

chia2010100 9 months ago
Hapo tu Mazinge ndo maana ukawa professor! Mashaallah
mamabilal 1 year ago
eti ahsante sana bwana mazinge
nafikiria kasahau baada ya kusema bwana yesu akasema bwana mazinge huyu mnafiki.
sio kuna mashehe wanaokusomea ni wanafiki wenzako makiristo ya uongo na ya kusema uongo
MyShau 1 year ago
panapo ukweli uongo hujitenga, Takbir!
mamabilal 2 years ago
ALLAH AKBAR!!!
khuichui978 3 years ago