Ni kweli kabisa G, kASYOZ, kumtegemea Mungu ndo muhimu ukiangalia wanadamu watakufanya mtu uzikose mbingu bure.Tumwangalie Yesu alie nyoka wa shaba.Kabuche Sweden.
Mtazame Yesu pekee wachana na binadamu kwani watafanya ukose Taji ya Uzima wa Milele. Wimbo mrwa sana unaotwambia tumtegemee Yesu pekeeee. Barikiwa ndugu yangu nimebarikiwa sana na huo wimbo.
mazuri yatafutika unapotenda moja baya, hii ndiyo hali ya binadamu, Mungu atusaidie
sumaipendo 3 months ago
love this song long time thanks,
nyarobecky 1 year ago
amen and amen.keep up the gift of singing and may you be blessed.evans onyango nyakwar ojiem
oevanz 1 year ago
Ni kweli kabisa G, kASYOZ, kumtegemea Mungu ndo muhimu ukiangalia wanadamu watakufanya mtu uzikose mbingu bure.Tumwangalie Yesu alie nyoka wa shaba.Kabuche Sweden.
zekabuche 3 years ago
Mtazame Yesu pekee wachana na binadamu kwani watafanya ukose Taji ya Uzima wa Milele. Wimbo mrwa sana unaotwambia tumtegemee Yesu pekeeee. Barikiwa ndugu yangu nimebarikiwa sana na huo wimbo.
friscolives 3 years ago
is that singing GIDEON???
holyhoodtv 3 years ago