http://www.ntv.co.ke
Wakenya wengi wanasubiri kuona utekelezaji wa awamu ya pili ya waliovamia msitu wa Mau utakavyokuwa. Suala hilo la uokoaji wa Mau na kongamano kuhusu hali ya hewa linaloendelea Copenhagen huko Denmark yameangaziwa kwenye kikao cha Gumzo Mitaani.
you gotta love these men and women
kiptooj 2 years ago
I think these people have an important point. Bwana Ruto unasikia hiyo?
2190g1 2 years ago
There's a guy who seems to be a regular in this gumzo mitaani segment. Kwani yeye ndio mouth piece? Good conversation though.
madanyalesh 2 years ago
Amen
wachaushenzi 2 years ago
pesa pesa, well these people have points. we are tired of begging leaders yet mau is our own making.
karuitha 2 years ago
Hizi fikira jameni mzipigie kura ijapo 2012!
Mambo ya Oh majimbo! oh kikuyu! oh watu yetu! ni siasa sumu na chanzo cha umasikini!
siasabora 2 years ago
This Gumzo series does well to bring out some of the best mindsets in Kenya. Makes me realise it's our leaders to a great extent who are cows.
MzeeMoja1 2 years ago
maoni mema
wanzueni 2 years ago