jamani bi Mwanahawa si alikua na Melody kunani tena mamy bado ana hama ovyo tuu.still nyimbo poa sana,
Kama kakueka ndani nami kesha nioa, kajua yangu dhamani ndio akanichagua. Amependa zangu mboni na mato ya kurembua na figa la wastani nyoda limemchengua. Weye una uzuri gani si basi tuu umestiriwaaa
bibi pole sana inabidi sasa uachane na mambo haya ufanye ibada waachie vijana sihaba ulipofika mtihani ulioupata sio mdogo,m.mungu anakukumbusha
TheMarveller 10 months ago
jaman huyu mwanahawa hajafa, yeye alipona kwnye ile ajali.@dheldam
wimbo huu ni special kwa wale wote wakorofi
getrudeify 11 months ago
jaman huyu mwanahawa hajafa, yeye alipona @dheldam
getrudeify 11 months ago
RIP MWANAHAWA...MOLA AKUGHUFIRIE MADHAMBI YAKO...WILL BE MISSED BY ALL IN THE WORLD OF TAARAB...
dheldam 11 months ago
Jamani! Ngoma babukubwa! Naomba Waswahili wanieleze ni nini maana ya nyonda? Kuuliza si ujinga eti! Au sio?
gazawire 1 year ago
nimefurahi royo yangu...taarab
lilmiss740 1 year ago
@Fantalbo NOMA SANA!!!
Fezzoh18 2 years ago
mahdhi ya taarab ndo nyimbo zetu hizi...Mpige vijembe bi Mwanahawa. Mpe shua
rabainamnazi 2 years ago
Eastafrica ni noma... hii tarab inafanya chupi zivuliwe!!!
Fantalbo 3 years ago 2
jamani bi Mwanahawa si alikua na Melody kunani tena mamy bado ana hama ovyo tuu.still nyimbo poa sana,
Kama kakueka ndani nami kesha nioa, kajua yangu dhamani ndio akanichagua. Amependa zangu mboni na mato ya kurembua na figa la wastani nyoda limemchengua. Weye una uzuri gani si basi tuu umestiriwaaa
likedatshorty 3 years ago