http://www.ntv.co.ke
Sanaa ina sura nyingi hapa Afrika. Kuna usanii wa mziki, uchoraji, uigizaji, ususi, uchongaji vinyago na hata mavazi. Katika makala ya kila wiki ya msanii na sanaa, tunachambua mitindo ya mavazibarani Afrika kutokana na maonyesho yaliyoandaliwa katika ukumbi wa Alliance France hapa Nairobi awali wiki hii.
IRENE IF I WAS NEAR NINGEKUPA MKONO.
tangawizi004 2 years ago