Sheykh anaeleza kwa uzuri kuwa najdi hiyo ni ya iraq wala sio Najdi ya jazeeratul Arab. Makhorafi walijaribu kumjibu sheykh kwa kutoa video, walakin khorafi ni khorafi hawana haya hata mbele ya haki. lao kubwa ni kuzusha tu!
maadui wajua hawo waislamu hawawezekani na silaha zao mbili - umoja na ilmu ya dini. Basi wametumia hikma. Wametia fitna na sasa waislamu watumia ilmu yao kujadiliana wenyewe kwa wenyewe. Wameshughulika humo hata hawaoni yakuwa
1- hawa kiristo wame ingia mpaka ndani ya mji "kuwaokoa" watu bila shida, na
2- wanawake wakiislamu hawaijui dini yao. Uki angalia picha ama video za harusi utaona wamemtaba muengereza hata wakampita na kumwacha nyuma katika israfu na mavazi na kujipamba.
huyu yeye mwenyewe ni pembe ya shetani!
albaswaair 8 months ago
maadui wajua hawo waislamu hawawezekani na silaha zao mbili - umoja na ilmu ya dini. Basi wametumia hikma. Wametia fitna na sasa waislamu watumia ilmu yao kujadiliana wenyewe kwa wenyewe. Wameshughulika humo hata hawaoni yakuwa
1- hawa kiristo wame ingia mpaka ndani ya mji "kuwaokoa" watu bila shida, na
2- wanawake wakiislamu hawaijui dini yao. Uki angalia picha ama video za harusi utaona wamemtaba muengereza hata wakampita na kumwacha nyuma katika israfu na mavazi na kujipamba.
shauhow 2 years ago