Muziki na ushairi vinaendana vizuri kabisa katika mseto huu wa kuvutia wa video za muziki za wanamuziki mashuhuri wa Kitanzania. Zikiwa na dhamira mbalimbali, kuanzia mawasiliano kati ya mzazi na mtoto hadi unyanyapaa, kila video imeandaliwa kwa uangalifu ili kuonyesha masuala muhimu yahusianayo na VVU/UKIMWI.
Muziki huu mbali na kutumbiza na kutupa matumaini inaliwaza na kumpa mtu nguvu za kuyakabili mazito yanayo mkabili, msanii ame ibua hisia nzito kweli kwa walio wengi ambao wan siri kubwa ambazo zina maunufaa kwao ila hawatumii.
MrRammearly 10 months ago
Kwa lugha ya kiswahili, uwaweza ukuimba kwa fani yeyote' ile,,
love it,,, your song, carola kinasha!
001997nl 1 year ago