MASAI on RAILA Vs KIBAKI (1) by GOSPEL GTV
Uploader Comments (Munishi2)
All Comments (42)
-
KIBAKI AND HIS RAILA MUSST GO; what we need ppl is new generation what this old ppl did to kenyans is bad so what about us youth we are none of their sides none of them is better
-
HUYU NI KIKUYU
-
Mbona lafudhi yake huyu ni fake?
well may be tru.
-
there in no anything from nothing. even in europe there is no free school. government pay then when you leave school you are taxed back! so kenya is still 3rd world with no powerful financial structure to catter for all those people.
-
Kibaki amefanya sawa japo kachelewa. Haikuwa lazima watu zaidi ya elfu moja wapoteze maisha yao ndipo huyo anayejiita msomi wa MAKERERE angamue kwamba ni ghali kuutetea uongo. Zaidi ya 1000 wamepoteza maisha kwa kile wadadisi wanachokiona kama mbinu ya Kibaki kuigawa Kenya katika matabaka ya walionavyo na wasokuwanavyo. Matajiri wachache walimtaka aendelee kukaza uzi, mpaka walipoona maji yanazidi unga wakalegeza kamba. Bado tunamtaka Raila asilipize kisasi. Watu kama Karua awasamehe tu.
-
Lakini tunampongeza KIBAKI hata kama. Sasa ni wakati wa kufanya kile alichokuwa akitanguliza kabla. Kuponya majeraha ya Kenya na kuwarudisha watu waliotimuliwa makwao. Isingewezekana kufanya hivyo, japo Kibaki alijidai angeweza. Hatujali nani ana mamlaka gani, ila wanasiasa wajue huu ni mwisho wa kucheza na maisha ya watu popote duniani.Jamii ya kimataifa iko macho. Hatuwezi kuwachia wanasiasa Kenya wachinje wananchi kwa maslahi yao kisiasa. Haiwezekani, tunalaani polisi waliowaua wakenya bure.
-
Nakubaliana nawe siyo wote. Hata hao zaidi ya miaka 35 siyo wote. Lakini mbona hawawakemei wanaowaharibia sifa ya Kabila lao? Kwa nini wanakubaliana na Kibaki katika hili na wanajua kuna utata? Najua kuna Wakikuyu waliooelimika na hawataki Ukabila uwatenge na Wakenya wenzao. Waseme mchana jua linawaka. Kimya chao kinatufanya tuone ni utamaduni wao kuvunja daraja baada ya kulitumia kuvuka. Swali langu watarudije?
Nilisema uchaguzi urudiwe. Wengine hawakunielewa. Hiyo ndiyo njia pekee kumaliza mzozo KENYA. Sawa WAMEKUBALIANA kugawa madaraka nusu kwa nusu. Mbona bado Kibaki anangangania wizara nyeti? Kwani kuwapa ODM wizara ya fedha au ulinzi kuna ugumu gani? Si bado wizara hiyo itakuwa ikiongozwa na Mkenya? Au PNU ni wakenya kuliko wengine? Nilisema namlaumu Kibaki, bado nitamlaumu kama Kenya itarudi ilikotoka. Najua PNU watasema kitakachotokea kilikuwa kimepangwa.Mbona PNU wanapanga kuhujumu makubaliano?
Munishi2 3 years ago
Kibaki aliwatapeli Wakenya. Alisema elimu ya sekondari itakuwa bure, kumbe ulikuwa uongo apate kura. Alipokosa akatumia ECK kuiba kura. Wazazi tumeshangaa kukuta karo ni zaidi ya mwaka jana. Mfano LIMURU GIRLS SCHOOL, mwaka jana tulikuwa tukilipa karo 45,654, wakati mwaka huu ambapo ilitegemewa karo ingeshuka au kutokuwepo kabisa, badala yake wazazi wanalipa zaidi ya 50,000 Binafsi nilipoenda kulipa karo kama inavyoonyeshwa kwenye ratiba yao 43,695, walisema bado 7,000 za tuition ya lazima. Ona
Munishi2 4 years ago
You can not steal polliticaly and hide in the law. This is what Kibaki is doing. "Siasa siyo taasisi, lakini wanasiasa huunda taasisi." "Wabunge hutunga sheria lakini haiwachagui" "Siasa ndio huzaa wabunge ambao hutunga sheria." "Makosa ya kisiasa lazima yatatuliwe kisiasa." KIBAKI ALIIBA KISIASA NA ANAJIFICHA KWENYE SHERIA. HAITAMSAIDIA. AJIUZULU SIASA IANZE TENA. SIYO KUWATUMA WATU MAHAKAMANI.
Munishi2 4 years ago
Hate me or like me, but i stand for what i said. Kibaki is an opotunist. He was not able to remove Moi from power. Raila helped him to do so. But if i were to meet Kibaki, This is what i would have told him. "Raila a Luo said Kibaki a Kikuyu tosha. Why is it so hard for Kikuyu Kibaki to say Luo Raila Tosha??????" Now you said HATOSHI, Kenyans said ANATOSHA. Why use ECK to rob Kenyans of their president????" That is what I want to ask Mr. Kibaki.
Munishi2 4 years ago