Busu Lako - Juma 20
Uploader Comments (BongoFlavor)
All Comments (8)
-
weweee huyu hatoki kenya,anatoka zanzbar sio tanzania,wakenya kila nyimbo munayoiyona kutoka tanzania au zanzibar munasema kuwa ni wakenya acheni zenu nyie kujisifu,,,hebu sikiliza tena ,,,kenya wanaongea kiswahili kama zanzbar ? Acheni zenu wakenya unasema aaa? wakenya wana kipaji ? Acheni hizo kila sehemu kuna kipanjii,,,juma20 kutoka zanzbar,nafikiri sasa yuko ujerumani,,,
-
Jama no wakutoka Kenya kwetu. Africa yote sis Wakenya ndio tuko na talent na pia warembo zaidi ya inchi zote zingine Africa.. Mimi nime safiri Afria kwote sis wakenya ni watu wa nguvu, warembo, na intteligence kuliko wezentu. Kitu ina takiwa sasa ni tuwe na UMOJA.
-
ndio mzeee, tunaku ona!
-
nice song big up up
-
naomba yusulako taaltal habibitaal jamani nzuurii
wimbo mzuri huo, huyu jamaa ni wa wapi?
mburi 3 years ago
Thanks on behalf of Juma 20. Juma ni mojawapo ya vipaji vipya kutoka Tanzania.
BongoFlavor 3 years ago
Ok, Ni njema kuona ukuaji wa fani ya muziki toka tz na nchi jirani ya Afrika Mashiriki. Nakupongeza kwa juhudi zako za kuwakilisha muziki hii kupitia youtube ili wenye walio ng'ambo wana fursa ya kuithamini...
mburi 2 years ago
Thanks Mburi
BongoFlavor 2 years ago