Mwalimu Nyerere Press Conference; Part 1-The Q & A on Debt

Loading...

Sign in or sign up now!
Alert icon
Upgrade to the latest Flash Player for improved playback performance. Upgrade now or more info.
15,389
Loading...
Alert icon
Sign in or sign up now!
Alert icon

Uploaded by on Sep 15, 2007

Akifafanua kuhusu Madeni akijibizana na Waandishi wa Habari...

Category:

News & Politics

Tags:

License:

Standard YouTube License

  • likes, 0 dislikes

Link to this comment:

Share to:

Uploader Comments (safirisafari)

  • As Promised...  Busara Za Wazee Zitatufikisha Mbali... Lazima Tuelewe Vizuri tulipotoka kusudi tusirudie makosa kama yapo...

see all

All Comments (11)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • mwalimu ni mtu ambaye hatasauliwa na mtanzania mwenye uzalendo na nchi yake

  • Mwalim alikuwa na upeo sana aliyoyaongelea ndiyo yanaikabili nchi yetu sasa i wish viongozi wetu wange usikiliza huu wosia na wawe challenged na wawe educated by his wisdom and learn from it

  • @genda68 ni kweli ndugu yangu, yani sasa hivi tusiseme Tanzania ni Masikini sema mimi ni masikini kwa sababu kuna mtanzania ambaye hajawahi kujua kuumwa njaa na kukosa chakula, kutaka kusoma akakosa ada. Anabadilisha magari kama nguo wakati mwingine hata baiskeli hana.

  • I think he died a happy man.. loved not only us Tanzanians but the whole Africa. I would want to die like that. otherwise what the point of dying like Mobotu? Rich with an unmarket grave and outside your own country? WE have to love our people more.

    Money isnt everything in this stupid life.

  • Asante kwa kutukumbusha fikra za Mwalimu.

  • Mwalimu alisema kwamba Ikulu ni pahali patakatifu!!!,kama kiongozi anataka kufika ikulu basi ni lazima awe NADHIFU,sio anakimbilia kuupata urais na huku anamwagamwaga mapesa{anahonga} ili apate urais,basi huyo HATUFAI kabisa kuwa kiongozi wetu.Ikulu sio pahali pa biashara,kwahivyo anaefika huko kwa njia ya pesa atazirudisha pesa zake kwa njia gani???.[kama sio kui......].

  • Haya mawazo ya mzee ni ya kuyatilia maanani sana, lakini na huu Ufisadi tuafika? Mzee uliwalea hawa vijana wako wewe umekufa masikini wenzako wanakula kama hawana akili nzuri. All in all ulituachia hekima zako na busara kazi kwetu

  • forever my hero.very intelligent.If only africa had had a few leaders like him during independence.....

  • Asante 'safirisafari',

    Umerejea safarini na zawadi nzuri ya marehemu Baba Nyerere JK!

Loading...
Alert icon
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more