Huku swala la mzozo wa Mau likiendelea kutawala anga za kisiasa, aliyekuwa mbunge wa Baringo ya Kati Gideon Moi amemshtumu waziri mkuu Raila Odinga kwa kupotosha wenyeji wa mkoa wa bonde la ufa kuhusiana na kuhamishwa kwa watu waliomo katika msitu huo.
Link to this comment:
All Comments (0)