"Mheshimiwa" Anna na Mkamba au Makamba Whatever please get a progress sio bla bla bla bla tu ya bure, eti 'Watu Watoke' just like that? That easy? Kama Viongozi Pangeni Kabla ya Kupangua!
Poleni wananchi wote waliopoteza ndugu na jamaa zao na walioathirika na maafa haya.
Hakuna hata mmoja aliyetoka kwa matajiri ambaye amefariki wao waliwahiwa kuokolewa.

mtamumie 1 month ago
Nashukuru sana kwa kuupload taarifa ya habari...
Asante sana
hyshi1 2 months ago