Alert icon
We're changing our privacy policy. This stuff matters.  Learn more  Dismiss

Marriage bill proposals

Loading...

Sign in or sign up now!
Alert icon
Upgrade to the latest Flash Player for improved playback performance. Upgrade now or more info.
2,045
Loading...
Alert icon
Sign in or sign up now!
Alert icon

Uploaded by on Dec 14, 2009

Kwa muda sasa baadhi ya wakenya wamekuwa wakilalamika kuhusu sheria zilizopo katika maswala ya ndoa, talaka na urithi wa mali, jambo linalopelekea muda mwingi kupotezwa katika kutafuta suluhu mahakamani na kuacha wengi katika lindi la masaibu kutokana na wao kutotambuliwa kama wake au kukosa kurithi mali au kugawanyiwa mali kutokana na sheria zilipo za ndoa.lakini haya yote huenda yakabadilika iwapo mswada wa ndoa 2007 utapitishwa bungeni. Na mabadiliko hayo yatakuwa makubwa ikiwa ni pamoja na wanaume kuruhusiwa kuoa bila kulipa mahali mbali sheria kuruhusu wanaume kuwaoa wanawake wengi. Jambo kubwa hapa hata hivyo labda ni kuwa ni wanawake walio katika mstari wa mbele kupigia debe mswada huu kupitishwa ili kufanywa sheria

  • likes, 0 dislikes

Link to this comment:

Share to:
see all

All Comments (2)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • For me, I do not care. So long as my husband plays his role that I deserve. Better I know he is married to the person I know as his 2nd or 3rd wife than hiding with many concubines in other estates. It so sad that on the burial day 1 or 2 women appear with kids resembling mine as co-wives yet when my husband was alive I did not know them. Again, it is sad that my husband hides until children meet in graduation ceremonies or they marry without knowing each other as step brothers/sisters.

  • I am pro polygamous, way to go. women are too many.

Loading...
Alert icon
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more