@Raihan20000 Baraka za Allah zinatufikia na twaishi nazo lakini sababu aloitumia baraka zikatufikia, ni ma3ulamaa kama hawa, so ni lazma tuwakumbuke masheikhe!! Akrimul 3ulamaa, fa innahum warathatul anbiyaa, mtumi kasema!! Baraka ni hizi za ilmu na kusilimisha vwatu and so on...let alone the asrar coz not all waamini hayo. Tupanue akili ndio tutaelewa ilmu ya Allah ni kubwa kwa mafhum ya mwanadamu, so tuombe Allah atupe maarifa na futuh na hikma!
Allah awasamehe madhambi yao Masheikh waliotangulia mbele yake. Allah awaongoe waislamu wote. Tunaishi kwa baraka za Allah na sio za binaadamu. Allah amjaalie msemaji huu aitangaze historia ya Mtume SAW na masahaba zake na Allah amjaalie aliechukua video hii achukue historia ya Mtume SAW na atuwekee humu Amin

Mashluv 1 year ago

Raihan20000 2 years ago