Ahsante sana Mchungaji kwa neno la Mungu. Ninakuunga mkono katika yote unayohubiri kwani Yesu alisema "mtajua ukweli, na ukweli utawafungua minyororo. Katika jambo moja tu ndio sikukubaliana kabisa. Lakini ni kwa mapenzi ya Mungu sio kwa fitina. Ulisema kuwa lazima kwanza mtu atubu ili aamini. Lakini kama 1 Corinthians 2:14 Paulo asema kuwa yule asiye na roho hawezi kusikia au kuelewa neno. Sijui waona aje jambo hili? Kabla ya kutubu si lazima mtu aweze kusikia sauti ya bwana ikimwelekeza?

smagua 2 years ago