Sasa wito umetolewa kwa rais Mwai Kibaki na waziri mkuu Raila Odinga kuwa mabadiliko makubwa yanahitajika katika wizara ya elimu. Wito huo unafuatia kile kinachoonekana kuwa kushindwa kwa wizara hiyo kusimamia ipasavyo fedha za elimu ya msingi bila malipo. Wito sawia na huo umetolewa na viongozi wa chama cha waalimu nchini KNUT.
Link to this comment:
All Comments (0)