kila mmoja ana maisha yake na kama wewe hupendi kuyaangalia huku umefata nini?watu kama nyie mnaojifanya mnapinga mila na ngoma ndiyo wa mnaoongoza kuangalia picha za uchafu.PLS FIND ANOTHER AREA & LEET US ENJOY OUR LIFE
I like this, nice to see locals doing their thing. To those with negative comments - its incredible how we never support our own. For the one referng to the day of judgement, WHAT ARE you doing on the internet, it should all be HARAM!!!, I love seeing people having fun <3 <3 and as for the comment for the lovely gorl in orange: not everyone was born a dancer, atleast they are all participating,. SO please think twice and if you really dont have a constructive critic, shut up! peace n love
@Mtanashati Kweli unayosema ndugu huku hakumfai kabisaaaaaaaa..........! Vijiuno hivyo vidogo. Akiangaliaje East Africa Kitchen Party na Kitchen Party n Jahazi moden Taarabu. Loh! pressure itampanda na kushuka.
si kumbari Yesu Mungu maana mnaogopa hayo matendo yenu kuyaacha, Mtu anayetawaliwa na Injili hawezi kutumikia michezo ya namna hiii kukata mauno hadharani kiasi hicho ni kujitagazia biashara .....sina uhakika na maisha ya sirini
Kama mwenzetu ustadh humu hamkufai maana utapata pressure ya bure. Kila mmoja anajua wajibu wake hivyo ushauri wangu achana na web hii tafuta ya watu wa type yako.
watu ndio kwanza mnashangiria maovu.wanawake wanahadhirika,kashfa gani?mtasema nini kesho kwa Allah enyi watu,kumbukeni mtahukumiwa kwa mnayosema navitendo vyenu.

kaygreko 8 months ago

tchiya 1 year ago
@Mtanashati Kweli unayosema ndugu huku hakumfai kabisaaaaaaaa..........! Vijiuno hivyo vidogo. Akiangaliaje East Africa Kitchen Party na Kitchen Party n Jahazi moden Taarabu. Loh! pressure itampanda na kushuka.
shushuu1 2 years ago
si kumbari Yesu Mungu maana mnaogopa hayo matendo yenu kuyaacha, Mtu anayetawaliwa na Injili hawezi kutumikia michezo ya namna hiii kukata mauno hadharani kiasi hicho ni kujitagazia biashara .....sina uhakika na maisha ya sirini
fbensony 2 years ago
Kama mwenzetu ustadh humu hamkufai maana utapata pressure ya bure. Kila mmoja anajua wajibu wake hivyo ushauri wangu achana na web hii tafuta ya watu wa type yako.
Mtanashati 2 years ago
Fuck man what the fuck dance ufffff
mubarakiqbal 2 years ago
Huo ni msewe na sio kidumbaki
Albertin6 2 years ago
watu ndio kwanza mnashangiria maovu.wanawake wanahadhirika,kashfa gani?mtasema nini kesho kwa Allah enyi watu,kumbukeni mtahukumiwa kwa mnayosema navitendo vyenu.
galbi5 3 years ago
Daaahhhh!!!Mambo ya pwani hayo hehe...viuno vinlegea kama halua...hamad!!!Missing home sweet home.... ;)
afrgal 3 years ago
Anazungusha kama kafunga mota kiunoni?
joelllli1 3 years ago