Sekta ya utalii inafunga mwaka na mafanikio baada ya watalii zaidi ya 500 kuwasili mjini mombasa leo asubuhi. Meli ya ms silver winds ilitia nanga bandarini mombasa, na kufufua yale matumaini kuwa baada ya mwaka ambao ulikuwa na shughuli chache za kitalii mambo huenda yakabadilika mwaka mpya. Bughdha la maharamia wa kisomali kuziteka nyara meli katika maji makuu pwani ya somalia, ndio sababu kuu ya kupungua kwa watalii hapa nchini.
mapoko kwa wingi.
rickomba 1 month ago
@timszon Ushelisheli = Seychelles
OneWholeKenya 1 month ago in playlist Uploaded videos
Usheni sheni. ?
timszon 1 month ago