swahili_flashcards_iphone_droids.wmv
Loading...
787
views
Loading...
Uploader Comments (kulmansam)
see all
All Comments (22)
-
@blackqueen923 Thanks!
-
hey u look good like this like your new style
-
@mission101media only testing mode right now...
-
@xDsmiliesxP not decided on name yet
Loading...
Ninataka ku uliza mambo. Unajua rafiki yangu huko Dar es Salaam, Beda Biswalo, editor ya gazetti Mwananchi / The Citizen? Mutu safi sana, mdogo wangu yeye.
speakswahilidammit 2 days ago
@speakswahilidammit :-) Mambo safitu. Sahahani simjui Beda Biswalo. Nakumbuka 1994-1995 nilikua Dar-es-salaam, na nilitebelea Daily News na Citizen kwaajili ya kutaka kuchapa maandishi kuhusu kampani tuliokua tukifungua. Kampani ya resort na 'time share'.
kulmansam 1 day ago
Ninapenda program kwako sana. Asante tena! Ulitizama Video kwangu ko youtube? Kama ulitizama, tafadhli ninyumbiye unufikiliazi. Pole, lakini Swahili yangu ni bovu, lakini mimi nili ondoka Tanzania zamani sana (1966), na mimi ni mzungu tu!
speakswahilidammit 2 days ago
@speakswahilidammit :-) 1966 ni mbali sana. Ki Swahili chako ni kizuri kwa mtu asieandika au kusema ki Swahili. Njoo hapa mara kwa mara, utapata ku 'polish' na ku 'practice' ki Swahili chako. - Asante tena
kulmansam 1 day ago
Asante sana mwalimu wangu!
speakswahilidammit 2 days ago
@speakswahilidammit :-) Karibu, furaha ni yangu
kulmansam 2 days ago