Familia moja katika kijiji cha nyalenda wilayani rachuonyo inahangaishwa na maradhi yasiyotambulika na ambayo kwayo yamekuwa kama laana.Watoto wanne wa familia hiyo wamefariki kutokana na maradhi hayo, huku watatu wakisalia kudhoofika na kuonekana wenye akili punguani. Damaris Kitavi anatuarifu kuhusu masaibu ya mama wa umri wa miaka hamsini na tisa, ambaye kwa miaka mingi amesalia kulea wanawe wasiojiweza.
Awww poor people . I wish I could help
ShelbyAfrica 1 year ago
A GOVERNMENT THAT CANNOT TAKE CARE OF ITS MOST VULNERABLE IS USELESS!!!!!!
tamaduni 1 year ago
OMG.... OMG.....!!!! poverty.... jiggers.... just killing the poor! BUT where is the GOD for the pooorest????
jdagoo24 1 year ago
@suensmithThis is truely bad.I hope they get help medically.It can be explained.
kushotto 1 year ago