Hotuba Ya Nyerere 50 Uhuru Tanganyika PART 1
" Ili Tanzania Iweze kusonga Mbele, Sharti idhubutu kuitoa CCM". Mwalimu Nyerere Aikemea CCM. Asema Wameiharibu nchi. Wameongeza matabaka. Jamii ya Tanzania inakulana. Man eat man society. Adai sasa ni Bora elimu na siyo Elimu Bora. Aitabiria CCM kutoka madarakani. Asema wajiandae kutolewa.
Eti Mungu ni Mwanasiasa wa chama kimoja? Umekosea. Kwamba alimtimua Shetani Mbinguni haina maana Mungu hapendi upinzani. Hata hapa duniani alikomtupa Shetani bado ni himaya yake Mungu. Haikuwa kibali kwa CCM kutumiwa na Shetani kuharibu Maisha ya Watanzania. Ndiyo maana Tunamkemea Yeye Shetani na CCM watoke Tanzania. Umeelewa Siasa ni nini na inakomea wapi? Twambie mpaka uko wapi?
gospelgtv 2 months ago