Video hii inahusu watu wa Kuba na utamaduni wao na jinsi ambavyo kwa kiasi kikubwa utamaduni huo ulivyoathiriwa na Afrika. Msingi huo wa Kiafrika uliwekwa na asasi ya utumwa katika karne zilizopita. Waafrika wengi waliletwa Kuba na Waespania kuwafanyia kazi hususan kwenye mashamba makubwa ya miwa.
Link to this comment:
All Comments (0)