Alert icon
We're changing our privacy policy. This stuff matters.  Learn more  Dismiss

Jicho Pevu: Zengwezengwe Bandarini Part 1

Loading...

Sign in or sign up now!
Alert icon
Upgrade to the latest Flash Player for improved playback performance. Upgrade now or more info.
16,209
Loading...
Alert icon
Sign in or sign up now!
Alert icon

Uploaded by on Nov 25, 2009

Licha ya halmashauri ya kutoza ushuru nchini kra kutangaza kukusanya mabilioni ya fedha kama ushuru, waKenya wengi wamelalamika kuhusu ufisadi kumea mizizi na kukolea katika halmashauri hiyo.

Na ukidhani kwamba mambo yapo katika halmashauri ya ushuru tu, basi umekosea, kwani labda ngoma yenyewe haswa ipo katika bandari ya Mombasa. Licha ya kuwepo kwa wafanyibiashara wanaoagiza bidhaa kutoka nje na kulipia ushuru kama inavyohitajika, uchunguzi wa jicho pevu la ktn uliochukua jumla ya miezi minne umebaini kwamba mambo ya mizengwe bandarini nayo yapo kwa wingi.

Ili kubaini ukweli wa mambo mwanahabari wako mpekuzi Mohammed Ali akishirikiana na mwenzake John Allan Namu waliamua kufungua kampuni na kuagiza bidhaa kutoka ngambo kubaini ikiwa kweli ni rahisi kukwepa kulipia ushuru. Waswahili watakwambia utamu wa ngoma ni uingie ndani ucheze, hapa ktn tunasema kwa uhondo kamili kuhusu jinsi ngoma ilivyochezwa tulia tuli mambo yalipangika na kupanguliwa katika bandari ya Mombasa pamoja na halmashauri ya kutoza ushuru nchini kra. Makala ni Zengwezengwe Bandarini Sehemu Ya Kwanza.

  • likes, 0 dislikes

Link to this comment:

Share to:

Top Comments

  • Nyengine kali kutoka kwako Mohamed Ali. Endelea vivyo hivyo toboa yote tuko na wewe. Mumebakia nyinyi tu kupigania haki zetu hatuna wengine. Tunateswa na kuonewa kutoka kila mahali, majambazi, polisi, wanasiasa, maofisini n.k. Jambo moja dogo lakini, spare parts ni "vipuri" si "vipuli"..

  • Siku moja sisi wengi tuliodhalalishwa, tutarauka machweo, tuwakamate wote watuhangaishao kiuchumi, tuwafunge kwa majani makavu ya mgomba wa ndizi, tuwanyweshe mafuta taa, na kuwapiga kiberiti.

see all

All Comments (10)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • Mohamed Ali your my favorite journalist. I like youuuuuuu. keep it up. mwaaaaa wavumbue

  • Most of the people who are now condemning Ali are the very people who don`t see black and white in Kenya`s corruption system.The bottom line is, most Kenyans have embraced corruption so much in the sense that it has become part and parcel of their life system,whereby telling them the truth is like telling them not to eat.Unless we use this media system to counter attack these corrupt figures including the corrupt political system in kenya,there is no way we can stop corruption in kenya.

  • Damn and you thought pirates were only operating on the somali coast, we have hyenas working at the port of Mombasa. It is common knowledge of the corruption that goes on there and I am happy KTN is now exposing it. This is the only to fight corruption in Kenya, I urge the media to keep up the fight untill Kenya is clean.

  • Isn't that what the story is about, at least partially.

  • tHE IRONY IS THAT THE MEDIA GUYS BRIBED TO GET ACCESS TO THOSE EXPOSING DOCUMENTS

Loading...
Alert icon
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more