FERME D'AMISI REHANI TUNDULA
Uploader Comments (Kisombola)
All Comments (6)
-
good job uncle. voila le guide, nous somme deriere nous allons suivre tes pas. toutes nos felicitations.
-
Vipi Éssombola hajanunuwa machines brush saws juu zinakataka harka sana ,nazani hivi sasa utaoneya kwa ndugu Tundula ginsi inakata hextares nyingi, débroussailleuses na chain Saws ,nahuliza vipi bado hujaenda kushika picha project ya ndugu Aséndé Ndélà sijuwe Lôbongya ? tutazidi.
-
@Kisombola Okay ni vizuri kabisa, hiyo itakuwa inapunguza jaanja ,na kuhangayika kwa population kwenda uvira kutafuta unga wamahindi ,na vingine,
Sasa ndugu ,hujuwe habari za ferme ya Aséndé Ndela kule Lôbondya sijuwe inaendeleya namna gani? Ama hakukuachiyaka responsabilité ya vyake.
Tutazidi , ila ndugu nina bwana mdogo jina lake Lupango Méda anahishi na maman yake pale SÉbélé jina lake Njiabo ,mumupatiye kakazi maman yangu mke wamwisho wa marehemu baba ,
Asante.
-
nasema hivi mbona mavuno naona nikidogo par rapport ya eneo la kulimwa ,vipi ,mimeya hayikuota(kumeya) vizuri?
Hapa tupo wapi? Sébélé ama ?
aambamakye 1 year ago
@aambamakye
Hapo ni Sebele. Nilienda kutembea hapo mwaka jana.
Mavuno umeona ni yenye ilikuwa imebaki nyumbani. Kulikuwepo karibuni mufuko mia tatu Baraka ikisuburi wateja.
Aksanti.
Georges Kisombola
Kisombola 1 year ago