Alert icon
We're changing our privacy policy. This stuff matters.  Learn more  Dismiss

Steven Kanumba - Big Brother Africa 2009 Interview

Loading...

Sign in or sign up now!
Alert icon
Upgrade to the latest Flash Player for improved playback performance. Upgrade now or more info.
36,868
Loading...
Alert icon
Sign in or sign up now!
Alert icon

Uploaded by on Sep 14, 2009

Issa Michuzi interviews Tanzanian Actor on his BBA experience and the mixed public reaction.

Category:

Entertainment

Tags:

License:

Standard YouTube License

  • likes, 1 dislikes

Link to this comment:

Share to:
see all

All Comments (37)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • Kanumba i feel u my brother,yani umenigusa sana kaka.Kama ulivyosema,we endele tu kudumisha sanaa yako na please usife moyo.Ndiyo Tanzania hiyo.

  • hey kanumba ur my idol u doing very well keeping present us and do ur job ,one day u will get there , all bulshit to people its makes u to be strong and succesfull trust me .....i love ur job

  • kip it up CRACKER

  • kip it up nigger

    

  • u're the best ever

  • c"mon

  • kanumba stop being a cryin baby!! go cry to ur mama!! bonge la jamaa, " 2 be honest, im disapointed!!"... JIKAZEEE, hii ni show biz!!... CRYIN BABY!!! BWAHAHAHAHAHHAHAHHAHA... MAN UP!!

  • Kanumba we uko safi- Ila tatizo kama ilivyo kwa wasanii wengine maarufu ni hilo la matumizi ya lugha. Hapa unaongea mara Kiingereza mara Kiswahili sasa ndiyo ninii?Jifunze Kiswahili fasaha ndiyo lugha yetu ya taifa sio Swanglish. Achana na wanaotukuza kiingereza ni watumwa...jisifu kwa kuongea Kiswahili ila usikichafue kwa kuchanganya. Bora uchanganye na Kisukuma..kiingereza kitu gani?

    Nakutakia kila la kheri na hongera kwa kung'ara kisanii na kutuelimisha kupitia sanaa. Ila punguza mapouda..

  • kumbuka kwamba si wote wanaokupenda na pia wako wanaotaka usifanikiwe tena wanapika majungu ya fitina dhidi yako! kiingereza nini kiingereza wewe! kiingereza kitu gani kwetu? si lolote si chochote! hata kama ungezungumza kisukuma au kiswahili hao waliyosema yao wangeliyasema tu. jambo muhimu kwao si lugha bali ni wewe , na wanasaka kila njia za kukuvunja moyo katika mchakato mzima wa usanii wako. Tubebee bendera yetu ya Tanzania na ya usanii wa Tanzania sisi tuko pamoja na wewe.

  • Kwanini unaumizwa na hao wenda wazimu wanaodhani kuwa kiingereza ndio maendeleo? Achana nao hao! fanya kazi yako waweke kando hao na wala usiwajali! kuna watu ambao hiyo ndio kazi yao. sisi watanzania tunaokupnda tumeona kazi yako ya kisanii na tunakukubali vrzuri kabisa tena asilimia 100. tunakuomba utosheke na hilo.

Loading...

Alert icon
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more