Alert icon
We're changing our privacy policy. This stuff matters.  Learn more  Dismiss

Demokrasia Ya Kijambazi Part 1

Loading...

Sign in or sign up now!
Alert icon
Upgrade to the latest Flash Player for improved playback performance. Upgrade now or more info.
6,874
Loading...
Alert icon
Sign in or sign up now!
Alert icon

Uploaded by on Mar 10, 2010

Ni miaka miwili sasa tangu Rais Mwai Kibaki na waziri mkuu Raila Odinga waliposalimiana nje ya jumba la harambee na kutia saini makubaliano ya kuunda serikali ya muungano. tukio lenye umuhimu mkubwa mno ambao hauwezi kusahaulika kwani ulikomesha ghasia zilizokuwa zikiendelea mfano wa dereva anayeshika breki za dharura akiwa katika mwendo wa kasi. Lakini visa vya hivi majuzi vya kupatikana kwa silaha mikononi mwa watu binafsi mjini Narok mkoa wa Rift Valley vimeibua hofu kuu. Baadhi ya maswala yanayowatatiza wakenya wapenda amani ni je, kuna uwezekano kwamba kuna baadhi ya makundi yanayolenga kuzua ghasia kwa mara nyingine. ili kubaini ukweli wa mambo mwanahabari mpekuzi Muhammed Ali alizama katika mkoa wa Rift Valley kutafuta hali halisi ya mambo. Na kama utakavyoona katika taarifa hii, serikali inapaswa kuwa macho kwani kuna uwezekano wa historia kujirudia na kuwaacha wakenya na maafa makubwa. Kwa taarifa kamili hii hapa sehemu ya kwanza ya makala ya demokrasia kijambazi. Tungependa kukuonya mtazamaji kwamba baadhi ya picha katika taarifa hii ni za kutatiza.

  • likes, 0 dislikes

Link to this comment:

Share to:
see all

All Comments (6)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • what bastards people died for politicians and they shake hands and drink coffee together like nothing has ever happened people fought for raila what did raila do to this people its time for change we need someone who is new and can bring raila and kibaki to justice as well as all the people who mistreat kenyans ,dont just look at jicho pevu and say its sad whats going on in kenya and have your dinner its time to act this program or mohamed ali cant change whats going on its we kenyans to do it

  • ktn, do you have a way of contacting the lady in this vid @ min 8.00?

  • this is really scary. i am happy we never had this madness in NEP. i hope all kenyans will resolve their differences peacefully rather than solving it with violence. you all have my prayers. i was really moved by the cry of the displaced lady. u can clearly see her anger and defeat. lets make a kenya livable by all of us without hate and persecution of a certain community. PEACE TO YOU ALL.

  • Go Ocampo..the so called big fish needs to be taken to Hague for no justice will be realized in Kenya. These people takes Kenyans for granted and they needs to locked away and the keys thrown away. MP's have no value for ordinary Kenyans lives.

  • Sad. How can this be happening in Kenya??And Moi is holding rallies with the Mungiki leader. Is there any doubt as to what he is upto

Loading...
Alert icon
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more