Gumzo Mitaani: Maoni ya Obama kuhusu Kenya

Loading...

Sign in or sign up now!
Alert icon
Upgrade to the latest Flash Player for improved playback performance. Upgrade now or more info.
9,221
Loading...
Alert icon
Sign in or sign up now!
Alert icon

Uploaded by on Jul 15, 2009

Katika ziara yake nchini Ghana Rais Barack Obama wa Marekani aliishutumu sana nchi ya uasili wake Kenya kuhusu maongozi na kukithiri kwa ufisadi. Rais Obama aliongezea kuwa kustawi kwa Afrika kutategemea zaidi waafrika wenyewe. Kikao cha leo cha Gumzo mitaani vijana wa Kenya wanaangazia hotuba hiyo.

Category:

News & Politics

Tags:

License:

Standard YouTube License

  • likes, 0 dislikes

Link to this comment:

Share to:

Top Comments

  • "mbumbumbu mzungu wa reli" that cracked me up

see all

All Comments (30)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • ni gumzo mitaani si lengine ni gumzo tu!

  • @wanzueni Maybe we should Africanize/Swahilinize the names LIKE Jacob=Yakobu, Peter=Petero, Amos=Amosyi, David=Daudi, Abigail=Abaigale, etc.

     Our parents gave us these English and French names because they thought that they are Christian names. Kenyans lets wake up and become genuine Kenyans

  • @HeshimaJameni My friend, its because people are not willing to break the yokes of colonialism. Yaani kukata kinyororo ya ukoloni au ubeberu (imperialism). Even in my primary school years English was emphasized to the core; speaking Swahili or vernacular while talking to your friends was like an offense and you get punished.

  • End the use of mzungu names

  • and end the use of mzungu names

  • Ni kwanini unajivunia lugha ya kigeni ambayo siyo ya kiafrika.?

  • @aboobn Why english? Kiingereza ni lugha ya kigeni, kwanini iwe ndiyo lugha ya taifa?

    Jawabu ni kwamba Kiswahili kiwe lugha ya pekee bungeni na pia kiwe lugha rasmi ya kazi na ya kufundkishia masomo yote ya taaluma mbali mbali shuleni.

  • REVOLUTION!!!!!!!!!!!!!

  • si dhani kuangalia wazee wetu ni kipimo cha viongozi wetu ....haya ni mawazo Tasa

Loading...
Alert icon
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more