LIVE IN VOXHALL, DENMARK, WITH RECULTURE. AUG. 2008
LINKS:
ARTIST - www.myspace.com/mzungukichaa
LABEL - www.myspace.com/caravanrec
Wajanja
Ghetto Youth
Wajanja is one of those Swahili words with multiple meanings. This song is in praise of the intelligence of youth in Bongo (slang for Dar es Salaam / Tanzania). Through music ghetto youth find hope in their struggle.
Tutakuja kutajirika / Na ngoma za kiafrika / Turuke na tucheze / Wacha kununa na kusita
Wasela wote tuko pamoja / Ugali mkavu na mchicha / Nina ruka geto kama mchizi / Kuliko kuota mizizi
Na na na na na na na na na na / Vijana wabongo ni wajanja
Mzungu Kichaa anaruka kamba / Anatafuta mwili kama Tyson / Vijana wakibongo wanaruka kamba / Wakati wanavuta ganja
Mzungu Kichaa ana ruka kamba / Anatafuta mwili kama Tyson / Usipo tunza mwili, utakuja adhirika / Utakula kuku kwa mrija
Sisi vijana wakibongo ni wajanja / Tunaruka kamba tukivuta ganja / Ndio maisha ya kigeto nani atajuta / Tuna tafuta amani hatutaki vita
Tutatafuta njia itatusaidia / Tutafika tutakofika / Tutaruka tutacheza / Kwa furaha si kwa fedha
am suprised i thought i was on weed when i heard this then i shaked once and twice then my ganja truly showed me he is singing swahili he is better than most of us in swahili haiya ! thumbs up
SuperAposh 1 year ago 6
Wewe kweli ni kijana wa bongo kabisa....most love man...from Kenya but feeling it all the way.......
rim1994 2 years ago 3