Lady Jay D aka JIDE, aka Commando, aka You name it, Strike Again with the same title "Natamani kuwa Malaika" The Video Recorded by Ogopa Video Production All the way From KENYA,
Lyrics:
Chorus
Natamani kuwa malaika
Natamani tena kurudi nyuma
Natamani kuwa kama zamani
Natamani kuwa kama mtoto x2
Moyo wangu mweupe kama theluji
Si mawazo mabaya wala chuki duniani ooh
Tabasamu hata kwa adui
Kuishi bila kulipa bill
Nikilia nabembelezwa si sasa nabezwa
Nikichoka tembea nabebwa
Kila kitu mimi nafanyiwa
Malaika, mtoto ni malaika
Rudia Chorus x2
Kama mimi nisingekuwa mkubwa
Katu nisingejua adha za dunia
Majukumu nisingefikiria
Kulala muda ninao amua
Stress zisingenifika
Majaribu nisingepata
Machungu nisingehisia
Kama hii leo nisingekuwa
Natamani kuwa malaika oooh
Rudia tena Chorus x2
Mnasema ukubwa raha,
Lakini mzigo mkubwa
Ukubwa jalala
Kila unapozidi kua
Manyang'au yakutamania
Tamania kukuraruaa
Rudia chorus x nyingi mpaka mwisho
Source: DHW.
Enjoy.
SzB.
i like ur music ,u r so cool,and u are pretty too
betty23245 3 months ago
Lady Jay Dee, how absolutely beautiful! Though I don't know what the song is about.
moevids1 8 months ago
good bless you ledy jay Dee!!!!!!!!!
MrAdija 1 year ago
ninapenda huu wimbo sana its gives some encouragement in life.. keep it up dear
dickouma 1 year ago
mzuri sana, mzuri kabisa 5 *****
tdt1000 2 years ago
Safi sana! Big up to Lady Jay Dee!
chemiche 2 years ago
wimbo na shooting imesimama safi tu...big up JD....
agrenveng 2 years ago
Wimbo mzuri sana lakini sidhani kama hii video imekaa vizuri, haijanogesha wimbo kama tulivyotegemea
mbogela1 2 years ago