http://www.ntv.co.ke
Nairobi ingali inahangaishwa na ugonjwa hatari wa kipindupindu. Maofisa wa afya ya umma wanasema msimu huu wa mvua utachochea hali hiyo. Lakini maofisa hao wanasema wanali kuthibitisha kweli ugonjwa uliouwa watu tisa Mukuru Kwa Njenga ni kipindupindu.
Link to this comment:
All Comments (0)