Maafisa wa usalama katika Mlima Elgon wamegundua kaburi la jumla na kupata miili 10 katika kijiji cha Kimombe divisheni ya Kopsiro.
Mkuu wa wilaya ya Kopsiro Silvester Mwangulu aliyekuwa alisema kuwa wanaendeleza uchunguzi kubaini iwapo kuna makaburi mengine ya halaiki.
so sad
agrenveng 2 years ago