Alert icon
We're changing our privacy policy. This stuff matters.  Learn more  Dismiss

Tanzania - Maru with Vumilia - Ukweli

Loading...

Sign in or sign up now!
Alert icon
Upgrade to the latest Flash Player for improved playback performance. Upgrade now or more info.
24,412
Loading...
Alert icon
Sign in or sign up now!
Alert icon

Uploaded by on Dec 26, 2008

AFRICA FROM A-Z: TANZANIA

Category:

People & Blogs

Tags:

License:

Standard YouTube License

  • likes, 0 dislikes

Link to this comment:

Share to:
see all

All Comments (21)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • Habari ndio hio!! nice

  • noma ime2lia hivo

  • penzi la kichaa na la mwenye ukimwi ni zuri mno.hii ni coment ya mwisho kwa mwaka huu endeleeni kuweka vikao wala haijalishi.

  • mgonjwa wa kichaa akikutana na mgonjwa wa ukimwi yaani raha tupu,cha msingi maelewano,mimi nimama na yeye ni baba byeeeeeee...... its my last coment 4 this yr nakupa msamiati ufafanu neno (kichaa)majibu yake ni mengi mie naingia kizani sinto patikana tena kwa hiyo kama unaakili achana na wendawazimu.

  • ukweli ni kwamba mimi ni mama na yeye ni baba,namuhitaji yeye ilo muelewe mi nampenda sana.vumi ulitakiwa upate award moja kwa ajili ya wimboo huu,nakutakia kila la kheri kimaisha.

  • nimeamini penzi ni bonge la issue,basi msinijengee hoja wadau ukweli anaujua yeye na mie.sina muda mwingi nashuka bongo zueni mpaka mchoke.kitendo cha yeye kunisamehe mie its like golden chance never come twice thanks mdau uk.

  • mapatano yetu na baba watoto wangu hamto yaelewa,kazi kwenu wambea tumejifunza kutokana na makosa.hata akiwa na wanawake 100 mie nipo hata akiwa na watoo 1000 hainisumbui kwani yeye ni baba na mie ni mama mungu anaujua ukweli maneno si mkuki msemayo sishtuki,nampenda sana jamani kila ndege hutua kwenye mti aupendao hata kama kuna miba na majani kibao.

  • mszilfa nashukuru kwa kumuingiza mungu kwani yeye hua yuko fair kwa viumbe wake,

  • yaani nimejitahidi mpaka nimempata baba watoto wangu,ambaye tulipotezana kwa miaka kadhaa kwa ajili ya wimbo huu asante sana vumilia kwani nilikua naiona dunia si yangu bila yeye.

  • asate nategemea na wewe pia yani

Loading...
Alert icon
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more